TAZAMA KIKOSI KAZI CHA RAIS SAMIA, BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassani, Leo 08 January 2022 ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri.

Kwa Mara ya Kwanza toka kuanza kwa uongozi wa Awamu ya Sita anapatikana Naibu Waziri wa Madini kutoka Mkoa wa Arusha kupitia Jimbo la Longido, Ambapo Mhe Rais amemtea Dkt Steveen Kiruswa kuwa Naibu Waziri wa Madini.









Comments