TAZAMA HALI ILIVYO HIVI SASA NYUMBANI KWA MREMA KIRARACHA VUNJO.

 KIMEI AMWAGA MACHOZI.

Na Lucas Myovela

Mamia ya waombelezaji waliyoweza kufika katika msiba wa Mwanasiasa mkongwe na mwanaharakati wa siasa za upinzani hapa nchini Dkt Augostene Lyatonga Mrema ambapo anatazamiwa kuzikwa leo Agosti 25,2022 nyumbani kwakwe Kiraracha Mkoani Kilimanjaro.


Marehemu Dkt Mrema alufariki jumapili ya Agosti 21,2022 katika hosptali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam hadi umauti unamfika Mzee Mrema akiwa na miaka 77.


Waziri Mkuu Mstaafu Mhe John Samwel Malecela amesha wasili nyumbani kwa marehemu Mrema na kutoa heshima zake za mwisho ambapo wanasubikiwa viongozi wengine wa kitaifa.



















Comments