HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO Novemba 21,2022 Kutoka MOTIVE MEDIA TANZANIA.
Ambapo vichwa vikuu vya Habari ni Sakata la Dkt Bashiru Ally Kakulwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM kuwataka wakulima wasiwe watumwa kwa wanasia.
Mbapo pia bado inaelezwa kwamba kutoka na kauli yake licha ya wengine kumponda ila wapo wanao muunga mkono kutokana na machungu waliyo nayo ya kukatwa majina yao kati chaguzi mbali mbali ya Chama cha Mapinduzi zinazo endelea hivi sasa.
Comments
Post a Comment