HIKI HAPA KITUO KINACHO FUATA KWA MGOMO KESHO NI WAFANYA BIASHARA ZA BAR & HOTEL.

 HIKI HAPA KITUO KINACHO FUATA KWA MGOMO KESHO NI WAFANYA BIASHARA ZA BAR & HOTEL.

Chanzo cha habari hii ni EATV.

Wamiliki wa Bara na Hoteli Jijini mwanza wamesema wataanzisha mgomo kuanzia kesho kutokana na Barara la Taifa la Mazingira NEMC kufunga baa na hoteli zao huku nyingine zikipigwa faini kubwa kwa madai yakupiga muziki kuoita kiasi.


Wamiliki hao wa bar na hoteli wamekutana kwenye kikao cha pamoja na kujadikiana kuhusu sheriaza NEMC walizo pewa hivi karibuni ambazo wanadai zinakwamisha shughuli zao na kusema ili waweze ili kupata ufumbuzi wa jambo hilo ni bora wagome kufanya kazi.

Ikumbukwe NEMC hivi karibuni walifunga baa maarufu zaidi hapa nchini katika mikoa ya Dar na Dodoma.

Endelea kutufuatilia kwa karibu ili kujua zaidi ni nini maamuzi ya wafanya biashara hao pamoja na NEMC.

Comments