🚨TANZANIA BADO KIZA KINENE RAIS SAMIA AWAPA VIFURUSHI VIGOGO USIKU MNENE YUMO KAMANDA WA TAKUKURU AANGUKIA PAJI LA USO.

🔴AMUWEKA PEMBENI UMMY MWALIMU KUUNGANA NA NAPE NA MAKAMBA.

🔴SAKATA LA BINTI KULAWITIWA BADO RIPOTI IPO NJIA PANDA NI KAMA LIMESIGINWA.

🔴CHADEMA WADAI WALIPOKEA KIPIGO KUTOKA WA AFANDE AWADHI SASA KUFIKA MAHAKAMANI.

🔴BAADA YA MKEKA WA MAMA MA RC MATUMBO JOTO WAPAKI IST MAOFISINI MKAO WA KUSEPA.

🔴POF KABUDI NA LUKUVI WAKUMBUKWA BAADA YA MSOTO WA MUDA MREFU.

Karibu usome Vichwa vya Habari magazetini leo Agosti 15,2024 pamoja na uteuzi wa Rais Samia aliyo ufanya usiku wa kuamkia Agosti 15,2024.

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali, wakiwemo William Lukuvi na Profesa Palamagamba Kabudi ambao wamrejeshwa kwenye Baraza la Mawaziri.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka, pamoja na wawili hao viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazini kama ifuatavyo:





HABARI KUU MAGAZETINI LEO AGSTI 15,2024.











Comments