KUZITEMBELEA WILAYA 5 NI KATIKA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI.
Na Lucas Myovela - Arusha.

Aprili 23 hadi 26, 2025 Dkt. Biteko atatembelea miradi ya Maji, Elimu, Hospitali na kuzungumza na wananchi kupitia mikutano ya hadhara katika Wilaya za Arusha, Arumeru, Longido na Monduli.
Aidha, ziara hiyo ya kikazi ya siku tano ya Dkt. Biteko ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano Muungano.
Comments
Post a Comment