TEC YAKATAA KUUNGA MKONO UWEKEZWAJI WA BANDARI. WADAI NI MAONO YA KINABII
LATAKA RAIS KUFUTA MKATABA HUO ILI KURUDISHA IMANI YAKE KWA WANANCHI WALIYO WENGI.
BAKWATA WATIA NENO.
DKT SLAA BADO MBICHI ADAI HAOGOPI JELA, WAKILI MWAMBUGUSI ASEMA NDEGE HAINA RIVASI MWENDO NI MBELE KWA MBELE.
VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI Agost,19,2023, KUTOKA MOTIVE TV.
Comments
Post a Comment